mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
Msimamo unaonyesha kwamba ODM inaongoza kwa kuwa na masenator wengi kuliko chama kingine chochote. Labda baada ya uchaguzi wa county tisa ambazo bado ndipo TNA wanaweza kuongeza nguvu.
ODM 11
URP - 08
WIPER - 04
TNA - 07
UDF - 02
KANU - 02
FORD KENYA - 01
FK - 01
NARC - 01
APK 01
VACCANT (TBA) - 09
Kwa maana nyingine ni kwamba bado ODM wana nguvu ya kuzi control siasa za Kenya. Kwakuwa hata kwenye magovernor napo ODM imejizolea magovernor wengi kuliko chama kingine chochote.