Full moon inawaathiri wanawake

Full moon inawaathiri wanawake

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Huu mwezi una nguvu kubwa sana katika maisha ya viumbe hapa duniani.

Na hasa unapokuwa full/ mzima kama ulivyo sasa mpaka binadamu hushawishiwa na nguvu zake. Mwanamke hakika huu mwezi ikiwa full unamvurugaa sanaa.

Katika utafiti wangu mdogo siku mbili hizi wanawake naokutana nao usiku wamekuwa kama mazombi. Mfano huyu muhudumu mmoja wa kike namwambia aniletee ugali na dagaa wakavu, yeye eti ananiletea dagaa wa mchuzi, amevurugwa sana.
 
Usiku niliamka kama mala tatu, yani ni kuna mwanga balaa, nilitamani hata niende kwenye mishe mishe zangu 😃
 
Back
Top Bottom