A aunt rachel Member Joined Aug 4, 2017 Posts 12 Reaction score 4 Aug 11, 2017 #1 Stress ni pale mwalim wa art anaposubiri ajira kitaa,huku kiongozi katoa tamko wanatakiwa walim wa science[emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
Stress ni pale mwalim wa art anaposubiri ajira kitaa,huku kiongozi katoa tamko wanatakiwa walim wa science[emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Aug 11, 2017 #2 Utasababisha vijana wapate presha jioni hii Sent using Jamii Forums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 11, 2017 #3 Stress ni pale unaposubiria mshahara uingie lakini unapata taarifa kwamba unatakiwa kuhakiki jina lako kwani limefanana na mtu mwingine ambae tayari alishahakikiwa.... Cc: mahondaw
Stress ni pale unaposubiria mshahara uingie lakini unapata taarifa kwamba unatakiwa kuhakiki jina lako kwani limefanana na mtu mwingine ambae tayari alishahakikiwa.... Cc: mahondaw