| Na. | Mradi / Sekta | Fedha (TZS) |
|---|---|---|
| 1 | Hospitali ya Rufaa ya Mkoa | 18,386,053,967.19 |
| 2 | Hospitali 4 za Wilaya | 10,370,000,000.00 |
| 3 | Miradi ya UVIKO 19 (ICU & EMD) | 1,200,000,000.00 |
| 4 | Miradi ya Tozo | 1,750,000,000.00 |
| 5 | Ukarabati Hospitali Kongwe (Mpanda MC) | 900,000,000.00 |
| 6 | Ukarabati & Ujenzi wa Zahanati 36 na Vituo 20 | 6,721,961,459.59 |
| 7 | Vifaa tiba vya Hospitali | 1,200,000,000.00 |
| 8 | Vifaa tiba vya Vituo vya Afya | 600,000,000.00 |
| 9 | Vifaa tiba vya Zahanati | 500,000,000.00 |
| — | Jumla | 41,628,015,426.78 |
| Kipengele | Hali 2021 | Hali 2025 | Ongezeko |
|---|---|---|---|
| Jumla ya Vituo vya Afya | 102 | 161 | 59 |
| Zahanati | 80 | 127 | 47 |
| Vituo vya Afya | 17 | 28 | 11 |
| Hospitali za Wilaya | 0 (ukamilishaji haujakamilika) | 4 | 4 |
| Watumishi wa Afya | 898 | 1,754 | 856 |
| Magari ya Wagonjwa (Ambulance) | 10 | 17 | 7 |
| Mwaka | Fedha za Ununuzi wa Dawa (TZS) | Wastani wa Upatikanaji |
|---|---|---|
| 2021 | 2,980,556,000.00 | — |
| 2024 | 3,380,560,000.00 | 94% (ongezeko la 11.8%) |
uko sahihi kabisaHizi ni kodi zetu wananchi ndiyo zimejenga hiyo miradi. Najaribu tu kuweka kumbukumbu sawa.
NI SAWA PIASerikali ya Tanzania imejenga Hospitali xxx, vituo vya afya xxx,zahanati xxx ambapi katika wamu ya 6 mwaka 2021/2022 hadi 2024/2025 jumla ya Shilingi xxxx zimetumika.
*** SAMIA hajengi zahanati,Kodi za Wananchi wote wa CCM na wasio na vyama fedha zao ndio zinajenga
SIO KWELIAisee,
Imekua style sasa kutoa misifa tu majizi nyie.
View attachment 3446998
==
Ndugu Wananchi, akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema:
“Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 41.628 kwa sekta ya afya katika kipindi cha 2020/21–2024/25. Fedha hizi zimetumika katika ujenzi na ukarabati wa hospitali, vituo vya afya, zahanati, ununuzi wa dawa na vifaa tiba pamoja na kuimarisha huduma za kibingwa. Hatua hii imeimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi, kupunguza vifo vya kina mama na watoto, na kuongeza upatikanaji wa dawa hadi wastani wa asilimia 94.”
1. Mchanganuo wa Mapokezi ya Fedha za Afya 2020|2021–2024|25
Na. Mradi / Sekta Fedha (TZS) 1 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa 18,386,053,967.19 2 Hospitali 4 za Wilaya 10,370,000,000.00 3 Miradi ya UVIKO 19 (ICU & EMD) 1,200,000,000.00 4 Miradi ya Tozo 1,750,000,000.00 5 Ukarabati Hospitali Kongwe (Mpanda MC) 900,000,000.00 6 Ukarabati & Ujenzi wa Zahanati 36 na Vituo 20 6,721,961,459.59 7 Vifaa tiba vya Hospitali 1,200,000,000.00 8 Vifaa tiba vya Vituo vya Afya 600,000,000.00 9 Vifaa tiba vya Zahanati 500,000,000.00 — Jumla 41,628,015,426.78 2. Ukuaji wa Miundombinu ya Afya
Kipengele Hali 2021 Hali 2025 Ongezeko Jumla ya Vituo vya Afya 102 161 59 Zahanati 80 127 47 Vituo vya Afya 17 28 11 Hospitali za Wilaya 0 (ukamilishaji haujakamilika) 4 4 Watumishi wa Afya 898 1,754 856 Magari ya Wagonjwa (Ambulance) 10 17 7 3. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
- Kukamilisha Wing A (Huduma za OPD, Mama na Mtoto, Radiolojia, vyumba vya upasuaji).
- Ujenzi wa jengo la Dialysis (umekamilika 100%, huduma zinaendelea).
- Ujenzi wa ICU na EMD (Huduma za dharura).
- Ujenzi wa nyumba ya mtumishi.
- Ununuzi wa vifaa vya kisasa: CT-Scan na mashine 2 za Digital X-Ray.
- Huduma za kibingwa zinazotolewa sasa: Upasuaji, mifupa, afya ya uzazi, ENT (Sikio-Pua-Koo), magonjwa ya ndani, na huduma za dharura.
4. Upatikanaji wa Dawa na Huduma
Mwaka Fedha za Ununuzi wa Dawa (TZS) Wastani wa Upatikanaji 2021 2,980,556,000.00 — 2024 3,380,560,000.00 94% (ongezeko la 11.8%) 5. Huduma za Dharura (CEmONC)
- Vituo vyenye uwezo wa kutoa huduma za dharura kwa wajawazito (upasuaji): kutoka 8 (2021) hadi 14 (2025).
- Idadi ya wajawazito waliojifungua katika vituo vya afya: kutoka 40,269 (2021) hadi 48,322 (2025).
hongera sana mama samiaView attachment 3446998

NDIYO MSIJE KUSEMA KODI YENU ILITUMIKA KWENYE UCHAGUZO HAYO NDIYO MATUMIZ SAHIHI YA KOD ZENU HAMCHELEWI KUZUSHA NYOE NGEDEREHizi ni kodi zetu wananchi ndiyo zimejenga hiyo miradi. Najaribu tu kuweka kumbukumbu sawa.
hawa hawajui nini wanatakaNDIYO MSIJE KUSEMA KODI YENU ILITUMIKA KWENYE UCHAGUZO HAYO NDIYO MATUMIZ SAHIHI YA KOD ZENU HAMCHELEWI KUZUSHA NYOE NGEDERE
Haya ndiyo mambo 10 makubwa ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameyafanya ndani ya miaka 4 ya uongozi wake (2021–2025):RAIS SAMIA: KIONGOZI WA MABADILIKO NA MAENDELEO YA KWELI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuthibitisha kuwa uongozi wake ni wa vitendo, uwajibikaji na matokeo chanya kwa Taifa. Tangu aingie madarakani mwaka 2021, ameweka msisitizo mkubwa katika kukuza uchumi, kuboresha maisha ya wananchi na kulinda amani na mshikamano wa kitaifa.
Katika kipindi cha uongozi wake, Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta za elimu, afya, nishati, maji, kilimo, miundombinu na ushirikiano wa kimataifa. Kupitia falsafa ya “Kazi Iendelee”, Rais Samia ameonyesha uthubutu wa kusimamia utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), Mradi wa Kufua Umeme wa Maji – Julius Nyerere, ujenzi wa barabara na madaraja makubwa, upanuzi wa shule na hospitali, sambamba na kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama.
Aidha, sera zake zimeimarisha uchumi kwa kuongeza mapato ya ndani, kupunguza utegemezi, na kuvutia wawekezaji wakubwa kutoka ndani na nje ya nchi. Kupitia ziara zake za kidiplomasia, Tanzania sasa imeimarika kimataifa, ikiheshimika kama nchi ya amani, fursa na mshirika thabiti katika maendeleo ya kikanda na kimataifa.
Zaidi ya yote, Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama kiongozi anayejali wananchi, hasa wanawake na vijana, akihamasisha ushiriki wao katika uchumi, siasa na uongozi. Hii imemfanya kuwa mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote, akiweka historia kama mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania na kuongoza nchi kwa ufanisi mkubwa.
Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameweka kipaumbele kikubwa kwenye maendeleo ya watoto, akitambua kuwa ndilo taifa la kesho. Kupitia uongozi wake, serikali imewekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta za afya, elimu na ulinzi wa mtoto. Amehakikisha kuwa kila mtoto anapata haki ya kusoma bure kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari, huku akiimarisha miundombinu ya shule, kuongeza madarasa, kujenga mabweni na kusambaza vifaa vya kujifunzia. Katika afya, ameongeza bajeti ya dawa, kujenga hospitali na vituo vya afya karibu na wananchi, hatua iliyosaidia watoto kupata chanjo, tiba sahihi na lishe bora kwa wakati.View attachment 3446998