Afu nyie ndio wa kwanza kumzonga kocha wa stars Mr. Amunike!! Maendeleo ya mpira yanahitaji uwekezaji mkubwa sana, sometime tufikiri beyond the box, ! Kwanini kila siku tuitwe kichwa cha mwendawazimu katika soka, kwanini tusiige mifano kwa club nyingne zilizoendelea kwa mustakabali wa nchi hii!! Kumbuka maendeleo ya simba ndio maendeleo ya mpira wetu wa tanzania!! Tufikiri zaidi , tutumie elimu yetu tulionayo kujenga hizi club, tutoe elimu popote pale juu ya nini timu hizi kubwa zifanye ili tutoke kwenye kichwa cha mwendawazimu