FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

mimi nadhani angeanza MBOWE na wafuasi wake kukaa lockdown alafu na sisi tutafata..
Aanzishe mgomo na awaambie wafuasi wake kuwa hamna kutoka nje wakae lock down.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaepinga kuwepo kwa lockdown hayajakukuta subiri hipo siku tutaongea lugha moja tu ya lockdown, na bila shaka ww ndo utakuwa wakwanza kupaza sauti km unavyoandika upuuzi sahivi,,,mbona Uganda wenzetu wameweza na hali si kama ya kwetu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swedeni unajua imetumia njia gani. Kwani kenya na uganda imefanya total lockdown?

Sent using Jamii Forums mobile app
bro shida hipo hapa mtu ypo jamii forum hajiongezi kabisa .....kenya na uganda hakuna lockdown kuna curfew .....watu wanalimitiwa muda wa kukaa mtaani na sio nchi nzima ni sehemu hatarishi tu........kwa mfano dar na arusha zilipaswa kuwa na curfew na mass testing .......
 
mimi nadhani angeanza MBOWE na wafuasi wake kukaa lockdown alafu na sisi tutafata..
Aanzishe mgomo na awaambie wafuasi wake kuwa hamna kutoka nje wakae lock down.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ww ni mjinga kama jina lako. Nimeandika fact umejibu siasa.
For the record huwa sipendi siasa,napenda fact zaid. Nilitarajia ujib fact not siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuatilia kwa umakini hotuba hiyo Tena na Tena siyo kwa kutafuta vifungu ili utuhidhihirishie nawe umepita kwenye shule za kata. Ni hotuba nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndyo maana nikasema hawa ndyo wazazi wao waliuza ngombe ili kupeleka ngome shule. Hawafikirii hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ku debate na wewe ni kupoteza muda, sababu unaweza kuwa una motives zako, pengine unahisi ukitetea lolote juu ya misimamo ya wenye mamlaka basi humu Kuna watu watakuona na wanaweza kukufikiria kwa lolote.

Sababu ukweli ni kwamba hakuna ulichoandika kinaweza muingia akilini mtu mwenye akili zake, kwa taarifa yako, Serikali yyt duniani lazima iwe na akiba ya kuendesha nchi kwa kipindi fln pindi inapotokea dharula. Hii dharula haiusiani na pesa za kuendesha nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman c sembe kantri hii au bwana yule alitudanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe angetoa ruzuku ili kusaidia jamii zisizo kuwa na uwezo wa kujikimu ningejua kaja plan B yakueleweka.

Kama maneno matupu tumeshazoea hamna jipya kabisa.
 
Sio lazima kuwaiga kila nchi ina mamlaka yake.
katika sayansi kuna kitu kinaitwa law of nature unaweza kustate Newton 3rd law of motion in various way bado message ni ile ile vinginenyo utakuwa unadanganya
mf . whenever there is action there is equal and opposite reaction au action and reaction are equal and opposite
 
Hakuna siasa hapo huo ndo ukweli..
Mimi sipo ccm na sijawahi kumkubali magufuli.
Ila katika corona SIKO NA MBOWE.
kama anataka lock down aanze kuwaambia wafuasi wake wakae ndani..
ALAFU TUONE KAMA MTAKAA.
Kweli ww ni mjinga kama jina lako. Nimeandika fact umejibu siasa.
For the record huwa sipendi siasa,napenda fact zaid. Nilitarajia ujib fact not siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII PINI BALAA
 
Kwa akili yako ile ya Kenya nayo unaweza kuita ni lockdown

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka point alizoweka Mbowe kama ushauri kwa ajili ya kupunguza maambukizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujasikiliza hotuba, umekuja hapa unakimbia kimbia tu na "lockdown"!! Hata uandishi wako unadhihirisha ya kuwa hakuna ulichosikiliza, zaidi ya kusimuliwa kuwa Mbowe katoa ushauri wa "lockdown"; aya nzima hakuna mkato wala nukta!!!!
 
Ushauri wa Mbowe ndio pekee unaweza kututoa ktk janga kubwa mno la vifo linaloendelea hasa DSM. Ni mahayawani kama mleta mada hawawezi kuliona hili. Hii ndio dunia imefanya na sio vingibevyo! Endeleeni kutii kauli za wati kama makonda ila DSM hali ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…