FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

April 30, 2020
Mbeya, Tanzania

Regional Commissioner wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aibuka kujibu hotuba ya Mbowe kwa waTanzania

Tanzania opposition slams 'state of denial' over coronavirus
Wednesday, April 29, 2020 22:46 WIB

Dar es Salaam, April 29, 2020 (AFP)
Tanzania's main opposition leader on Wednesday accused the government of hiding information on the coronavirus and failing to take the pandemic seriously.

Tanzania is one of few countries in Africa that has not taken extensive measures against the virus, and President John Magufuli is among a handful of world leaders still playing down the seriousness of the disease.

"Our cases are shooting up at an alarming rate while many countries are now flattening the curve," said Freeman Mbowe, of the opposition Chadema party, in a speech broadcast online.

Tanzania recorded its first case of coronavirus on March 16 -- and in a little over two weeks cases have leapt from 32 to 480 with 16 deaths.

While relatively small on a global scale, the growth is among the highest in East Africa, where most countries have implemented lockdowns, curfews, and strict social distanncing measures.

In Tanzania, schools and universities have been shut but markets, bus stops and shops bustle as usual. Opposition members have also criticised the government for waiting a week to announce new cases, after Magufuli on April 22 said the ministry of health was "causing panic".

"I have information that there are many people who recovered but these are not given priority in announcing. I see they are competing to announce new cases and deaths which are causing panic," the president said.

Prime Minister Kassim Majaliwa provided an update Wednesday amid mounting pressure to do so. Mbowe questioned the veracity of the numbers released. "We see people dying and their burials are supervised by the government under strict conditions but yet it is not telling us they died of coronavirus. There is no transparency and when people have no information, you provide room for rumours. The government is telling us only 16 died of coronavirus but this is a joke," he said.

Mbowe said that Magufuli, who has been staying in his home town of Chato in northwestern Tanzania since March 28, was in a "state of denial". Magufuli has claimed God would protect Tanzanians from the virus, and has urged people to keep working as usual.

"This is time to build our faith and continue praying to God and not depending on facemasks. Don't stop going to churches and mosques for prayers. I'm sure this is just a change of wind and it will go like others have gone," Magufuli said at a church in Dodoma last month.

Magufuli came to power as a corruption-fighting "man of the people" but has since been criticised for his authoritarian leadership style, with rights groups citing a crackdown on the media and critics during his rule. He is due to run for a second term in polls due in October.

Source : AFP
 
Utopolo tu
Katika vitu huwa vinafanya umtambue mtu hekma yake na uelewa wake ni pamoja na mitizamo yake. Kiukwel mh MBOWE hakutakiwa kushawishi njia ambayo kila mtu ameanza kuiacha kuitumia kwa kutokuonesha matunda yoyote mazuri

Ukiwa Kama kiongozi mkubwa unaeota siku moja kuwa kiongozi wa nchi hutakiwi kuonesha ujinga mbele ya wananchi unaowategemea wakuamini ili baadae wakupe dhamana ya kuwaongoza.

Kiongozi muda huu wa matatizo hatakiw kuonekana kua anataka kutumia matatizo ya wananch wake ili ajinufaishe kwa maslai yake. Ukiwa Kama kiongozi hutakiw kuatarisha maisha ya unae muogoza kwa njia yoyote Ile na inatakiwa utoe haki sawa kwa levo zote.

Yeye Kama kiongozi hakutakiwa kulazimisha serekal ifanye Lock down Kwan hii ni njia moja hatari Sana kwa raia maskini Kwani hata ukisema wapewe pesa hujui janga litaisha Lini na serikali itatoa pesa mpaka Lini? Na vipi baada ya Corona watanzania wataishije au mfano wewe ukiwa umesha chukua nchi utaiongoza vip bila pesa? Si ndio itakuwa hospitali madawa hakuna. Miundombinu kuwa mibovu. Njaa kibao watu kukosa mishahara Yao na matatizo mengine. Au unataka Hali iweh ivi

Wewe Kama kiongozi mkubwa umeshindwa kuelimisha watu njia nzuri na muhim Sana ambayo inaenda kutumiwa na watu wengi. Kiongozi ulitakiwa uanze kutoa elimu kwa nguvu zote ya kuelimisha watanzania kuhakikisha wanajikinga kwa kuvaa mask na kuosha mikono kila wakati Kinga ambayo ingeweza kulinda maskini na tajiri wote kwa wakati mmoja ulitakiwa ulazimishe serikali labda ihakikishe inagawa barakoa kwa raia bure na sanitizer ili kujikinga na Sio kuforce watu wakae ndan ok tuseme serikali imefata Kama mnavyotaka watu wakae ndani Ila vipi wale watu ambao mitaji Yao inategemea yeye kuwa kwenye mizunguko vipi lock down ikiisha na chakula Cha bure kutoka serikalini kika stop umeshawaza huyo mtu ataanzaje upya Maana baadh ya kazi za watanzania wengi zinataka kila siku uwepo ukimiss hata siku moja unakuwa umesha toka kwenye Ramani

Viongozi wote TANZANIA mlitakiwa muwe namba moja kusimama na raia na siku kusimama kupingana na hoja za rais. Tarehe moja Trump katangaza kuwa ndio mwisho wa Lock down watu watatembea Ila wavae barakoa na wawe wanasafisha mikono Yao Sasa nchi Kama Marekani inayoongoza kwa vifo na wagonjwa imeona Lock down haisaidii Ila inaharibu watu uchumi na akili wewe kiongozi wa juu Tanzania kila siku unalilia lock down au ndio mtoto akililia wembe muache umkate

Kwanini msianze kulia ofisi yenu inayowapatia posho kila siku ifungwe. Na japo kuwa tayari mmesha wapoteza wapendwa wenu wawili umo humo ndani lakini mnajifanya Kama hamuoni ila macho yenu yote yanaona Kariakoo na feli watu wanapojipatia Mia mbili mbili zao ingekuwa kweli mnataka nchi isiingie matatizoni kwa njia ya Lock down mngekuwa mnapigia debe ofisi yenu ifungwe Kama mnavyo pigia debe vitu vingine.

Tanzania ndio nchi pekee Kuna baadhi ya watu wanaweza kujikinga Corona kwa barakoa na kunawa mikono wengine hawawezi njia hiyo ila wao wafungiwe ndani mpaka ugonjwa utakapo Isha

Kiongozi Kama kiongozi Sasa hivi hutakiwi kupambana na hoja za rais kisa kuogopa kumpa credit Ila unatakiwa kuungana na rais ili kusaidia wananchi kiongozi yoyote Yule TANZANIA anatakiwa nguvu aelekeze kwenye barakoa na sanitizer au maji kutirirka na hii ndio njia sahihi wanayo umia China India na nchi zingine lock down ni usanii tu MAREKANI alifungia watu ndani akiwa na wagonjwa 1230 na vifo 270 angalia takwimu leo zinasemaje

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna siasa hapo huo ndo ukweli..
Mimi sipo ccm na sijawahi kumkubali magufuli.
Ila katika corona SIKO NA MBOWE.
kama anataka lock down aanze kuwaambia wafuasi wake wakae ndani..
ALAFU TUONE KAMA MTAKAA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Still bado umekomaa na mbowe sana. Are you on his political side or on his fact side?
As i said.. mm sio mshabiki wa siasa za aina yoyote ile.
What i said is lockdown imeonyesha matokeo chanya kwa nchi zilizo ruhusu.
Sisem kwetu inawezekana.. maybe.. kwa wenzetu imewezekana sababu ya uwezo walio nao ambao sisi hatuna uwezo huo.
Partial strict rules ndio itasaidia kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanapotosha kwa makusudi ukweli kwenye hili la covid 19 na kudhoofisha elimu na kinga ambazo zingepaswa kuchukuliwa. Ni wahaini. Ni wazembe. Ni waovu na wasiojali utu wa binadamu. Hawana upendo.

Wao wanaagalia hela na uchumi tu, na wanataka Watanzania wengi waambukizwe na kufa.
Tumegundua hila na njama zao. Tuwapinge kwa nguvu zetu zote!!
 
Lock down haijazuiliwa... jiwekee mwenyewe na familia yako..

Serikali haimzuii mtu kujifungia nyumbani kwake..

Usitake kulazimisha unachotaka wewe wote wafanyiwe katika nchi huru..

Jifungie mwenyewe kama unataka lock down

Frame na kodi anakuja kulipa mjomba ako?
 
Ni mpumbavu pekee anayeweza kufananisha USA na Tz. Wenzetu wanapima mpaka 100k kwa siku sisi sijui wanane alafu unakuja kusema mbna USA wamefanya locdown maambukizi na vifo ni vingi? Unajua idadi ya maambukozo Tz?

Wenzetu wanatoka locdown coz wameshachukua measures tyari ikiwepo na mass testing. Wanatoka lockdown coz wameshafurmigate miji yao. Tz imefanya nini?

Mbna huongelei china. Si ilikuwa lockdown je sasa ipo lockdown? Vifo vimeendelea?

Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe ili kupeleka ngombe shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu heradius12, moja ya hoja yenye mashiko kwenye bandiko kuu ni kuhusu Mh Mbowe Kama kiongozi hakutakiwa kulazimisha serekali ifanye Lock down kwani hii ni njia moja hatari Sana kwa raia maskini Kwani hata ukisema wapewe pesa hujui janga litaisha Lini na serikali itatoa pesa mpaka Lini? Na vipi baada ya Corona watanzania wataishije au mfano wewe ukiwa umesha chukua nchi utaiongoza vip bila pesa? Si ndio itakuwa hospitali madawa hakuna. Miundombinu kuwa mibovu. Njaa kibao watu kukosa mishahara Yao na matatizo mengine. Anongeza kuuliza Au unataka Hali iweje?

Ukweli ni kwamba mawazo/hoja zote za Mbowe ni za mfa maji. Viongozi wa kutegemewa CHADEMA wanakihama chama. Yeye kama mwanasiasa ameshindwa na ananguka kisiasa. Hivyo, anaamini kuwa Serikali ikiamua kukubali mapendekezo yake nchi itaingia kwenye machafuko. Ushahidi ni nchi zilizotumia mbinu ya "lockdown" makampuni yake ya kibiashara yanapunguza wafanyakazi hadi 50%, jambo ambalo litachochea mwongezeko wa umaskini nchini na kusababisha vurugu.

Na hata kama machafuko yasipotokea, bado Serikali iliyoko madarakani itashindwa kujiendesha baada ya kuwa imetumia akiba ya kitaifa, kwa jinsi anavyoshauri. Upo ushahidi wa kutosha na ulio wazi kuwa hoja ya Mbowe na viongozi wenzake CHADEMA umegubikwa na wivu na chuki wanapoona mabadiliko ya kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Magufuli. Kutetereka au kusimama kwa miradi mikubwa ya maendeleo kwake anaamini itakuwa keti ya kuuangusha utawala.

Hivyo basi, mawazo ya Mbowe yamejaa ubinafsi na chuki. Ushahidi ni jinsi anavyowatumia viongozi wenzake kama mtaji wake wa kujitajirisha. Wabunge wamelazimishwa kuchangia mamililoni kila mwezi kwa kile kinachoitwa kuimarisha chama wakati matumizi ya ruzuku hataki yahojiwe.

Mlio karibu na Mbowe, au wafuasi na mashabiki wake, kama wewe, mmshauri aimarishe chama chake kwanza. Tanzania itavuka salama kwenye janga hili la korona kwa mbinu na mikakati iliyowekwa na kusimamiwa na Setikali chini ya uongozi wa Rais mwenye "creative vision".

Tuliobaki TUJIKINGE TUWAKINGE WAPENDWA WETU.
 
Bila lockdown MAREKANI , Italy, Spain na kwingineko hali ingekuwa mbaya sana. Ni swala la muda tu. Wote wanaokataa Lockdown hapa Tanzania watajionea kwa macho yao au wao wenyewe kutangulizwa na COVID19. Kwa sasa wananchi wengi bado hawajafikiwa na Barakoa na Vitakasaji na haitawezekana. Njia rahisi ni Lockdown. Inaumiza kiuchumi, Lakini inaokoa maisha. Hakuna mbadala wa maisha ya Mtanzania hata mmoja. MBOWE YUPO SAHIHI. NA FIKRA ZA LOCKDOWN NI SAHIHI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unadai hivyo wewe utasalimika?
 
Mkuu heradius12, moja ya hoja yenye mashiko kwenye bandiko kuu ni kuhusu Mh Mbowe Kama kiongozi hakutakiwa kulazimisha serekali ifanye Lock down kwani hii ni njia moja hatari Sana kwa raia maskini Kwani hata ukisema wapewe pesa hujui janga litaisha Lini na serikali itatoa pesa mpaka Lini? Na vipi baada ya Corona watanzania wataishije au mfano wewe ukiwa umesha chukua nchi utaiongoza vip bila pesa? Si ndio itakuwa hospitali madawa hakuna. Miundombinu kuwa mibovu. Njaa kibao watu kukosa mishahara Yao na matatizo mengine. Anongeza kuuliza Au unataka Hali iweje?

Ukweli ni kwamba mawazo/hoja zote za Mbowe ni za mfa maji. Viongozi wa kutegemewa CHADEMA wanakihama chama. Yeye kama mwanasiasa ameshindwa na ananguka kisiasa. Hivyo, anaamini kuwa Serikali ikiamua kukubali mapendekezo yake nchi itaingia kwenye machafuko. Ushahidi ni nchi zilizotumia mbinu ya "lockdown" makampuni yake ya kibiashara yanapunguza wafanyakazi hadi 50%, jambo ambalo litachochea mwongezeko wa umaskini nchini na kusababisha vurugu.

Na hata kama machafuko yasipotokea, bado Serikali iliyoko madarakani itashindwa kujiendesha baada ya kuwa imetumia akiba ya kitaifa, kwa jinsi anavyoshauri. Upo ushahidi wa kutosha na ulio wazi kuwa hoja ya Mbowe na viongozi wenzake CHADEMA umegubikwa na wivu na chuki wanapoona mabadiliko ya kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Magufuli. Kutetereka au kusimama kwa miradi mikubwa ya maendeleo kwake anaamini itakuwa keti ya kuuangusha utawala.

Hivyo basi, mawazo ya Mbowe yamejaa ubinafsi na chuki. Ushahidi ni jinsi anavyowatumia viongozi wenzake kama mtaji wake wa kujitajirisha. Wabunge wamelazimishwa kuchangia mamililoni kila mwezi kwa kile kinachoitwa kuimarisha chama wakati matumizi ya ruzuku hataki yahojiwe.

Mlio karibu na Mbowe, au wafuasi na mashabiki wake, kama wewe, mmshauri aimarishe chama chake kwanza. Tanzania itavuka salama kwenye janga hili la korona kwa mbinu na mikakati iliyowekwa na kusimamiwa na Setikali chini ya uongozi wa Rais mwenye "creative vision".

Tuliobaki TUJIKINGE TUWAKINGE WAPENDWA WETU.

Tofaut na kukaa ndani hakuna kinga nyingine ya corona labda utembee ndani ya puto
 
Usinge kuwa nyumbu usinge jua naongelea nn
lockdown ! ulisikiliza au ulisimuliwa ........mnatutesa sana tusiokuwa biased na siasa zenu za vyama ......hasa kipindi hiki cha hatari .........kuna vitu vingi vya kufanyia kazi katika hotuba hiyo ..............kuna jina wanaitwaga chadema kuwa ni manyumbu lakini naanza kuona inawezekana CCM ndio kuna manyumbu hasa ..........mnatushosha sana tulio nyutro na siasa zenu za maji taka ANGALIENI AFYA ZA WATANZANIA KWANZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako ile ya Kenya nayo unaweza kuita ni lockdown

Sent using Jamii Forums mobile app
EWE5BxVU8AAAbGT.jpg
 
shida ni kwamba kila mtu sasa hivi ni mtaalam wa corona..

Back
Top Bottom