Full Text: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya kufunga mwaka 2021. Kirusi kipya cha Corona cha Omicron kimeshaingia Nchini Tanzania

Hivi kinachoendelea ni kuziba 01.01.2022 Media zisiongelee hotuba ya Lissu au wametoa ili wachambuzi waanze kuzioanisha!.
 
Nimependa Rais alivyozungumzia bei ya mbolea.

Hotuba ya Tundu Lisu ni kama ya kaka mkuu wakati wa kufunga shule ya sekondari!
Nenda kapitie hotuba ya Lissu uone alivyozungumzia suala la mbolea halafu njoo kwa Samia alivyozungumzia kuhusu mbolea, halafu walete wakulima waichambue, ndio utaelewa tuna rais wa kiwango gani cha chini cha upeo.

Wakulima wote wa Tanzania wanataka bei ya mbolea iwe chini, sio blah blah za Samia.
 
Hii hapa hotuba nzima ya Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan alipouga mwaka 2021.

 
Yaani kwa kweli mi naona hotuba ya ajabu ajabu tu! Hajataja hata mkakati wake wa kuendeleza miundo mbinu!
 
Zile hela za kovid wangezichepusha kwenye pembejeo za kilimo. Madarasa yangejengwa kwa kutumia tozo.
 
... kwa mlioisikiliza, kazungumzia Katiba Mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…