Aiseh hili wazo unaweza lipeleka ukweni kama lilivyo ukapewa wife material for free
Jaman hii nchi inatupasa tubadilike
Hakuna mjomba wa kutusaidia hapa lazima tufikirie sawasawa kutoka kwenye changamoto zetu
Hizi blaa blaaa zetu hazitusaidiii au sijui ndio maana unaitwa waswahili
“Tumeweza kuifungua nchi yetu kwenye uwanda mpana wa ushirikiano na uhusiano na kutuwezesha kuimarisha sauti yetu na ushawishi wetu kimataifa” - Rais Samia Suluhu Hassan
“Nitumie fursa hii kuwahimiza wananchi kupata chanjo dhidi ya uviko 19, natambua kuwa chanjo haizuii mtu kupata maambukizi ila inapunguza makali ya ugonjwa huu, hivyo niwahimize wananchi kwenda kuchanja, chanjo zipo na zinapatikana bila malipo” - Rais Samia Suluhu Hassan