N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
Mbona Zitto anatetemeka sana?
pinda yumo???
Makinda kashawaambia fujo hataki na migogoro yao ya urais wakome kuileta bungeni
Mbona Zitto anatetemeka sana?
Up-dates please kwa mliopo ukumbini au mnao angalia live from tv
Hadi raha, kuanzia leo nabadilisha username instead of Namanyele naitwa Escrow Account, nimemaliza
half london mtwara ni kijijin? (utani)
Bi mkora leo karudisha heshima, ye ndo bosi wa bunge! Safi sana! Sasa ngoja tusikie presentation.