Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Alishasema mwenye uwezo ampeleke mahakamani.
Chenge ni mwepesi kama pamba, akisogezwa mahakamani anaweza kumalizia maisha yake yaliyobaki gerezani. Lakini, nani wa kumsogeza huko mahakamani?!
 
Naamini kuwa serikali inamwogopa Chenge. Huyu Chenge a.k.a nyoka wa makengeza alipiga hela za rada akaficha visiwa vya new jersy hata serikali ilipojua ikagwaya. Kapiga za Escrow hata akatangaza kuwa bil.1.6 ni vijisent tu bado serikali imegwaya. Hata kwenye upelelezi hayumo. Namwomba namba moja amsweke ndani au awaachie wote walioko mahabusu.
Magufuli kafika mahali amegota, kama kweli alikuwa na nia ya kuwakomboa watanzania basi acheze kama Putin. 2020 akagombee ubunge Chato amwachie Dokta urais. Rekebisha katiba ili waziri mkuu awe makamu wa rais kutupunguzia utitiri wa viongozi wasio na tija.

Ndani ya miaka ya 2 ya uongozi wa Dr Tanzania itakuwa level nyingine. I can bet on this.
 
Back
Top Bottom