Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Pinda naona wabunge wanamtetea...

PAC inaona pasipo mashaka kuwa Pinda anajua kila kitu...
 
Piga chini PINDA,, MUNGU SAIDIA.
 
Muda wa Pinda kulia naona unawadia....jamani mwenye tissue paper tafadhali
 
Nimesikia na kuona Majina mengi ya waliokula mlungula, lkn Sijaona Waziri Muhongo ameingiziwa ngapi ningependa kujua, kwa maana huyu ndio Ring leader mwenyewe akifwatiwa na Kikwete!

 
na kama yupo dini hyo mpaka askofu ni kibaka nakushauri mbadilishe aisee unless otherwise. hii ni too much kwa kanisa na ni aibu though vatican ndo michezo yao.
cc ikhwaan

Ni kashfa kubwa sana....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…