Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Jambo moja thabiti nlijualo ni kuwa, mafanikio ya kisiasa za Zitto Kabwe yatapatikana akiwa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
AIBU HII YA KANISA KATOLIKI KULAMBA MAMILIONI YA ESCROW!! Askofu Methodius Kilaini ametuvua nguo Wakatoliki wote, siyo tu Tanzania, bali Dunia nzima kwa ujumla! Amelamba 80M/= za ESCROW. Hii ni fedheha na aibu kubwa kwa Kanisa hili lenye kimbelembele cha kuwanyooshea vidole wengine kwa Ufisadi. Ama kweli hujafa hujaumbika, Askofu Kilaini na Mwenzake aliyelamba Milioni 40 wametutia aibu nzito Wakatoliki wa nchi hii. Shame on Kilaini, shame on Kanisa!
 
Baba Askofu,rudisha tu hela

ni kweli yametokea,ni ajali tu!!

Rudisha hela uliyopewa na Ruge

Utakua umefanya jambo la maana sana!!
 
hatimaye pinda naye apigwe tu tumechoka tena leo. Hatuwezi kufuga wezi ikulu apigwe haraka sana
 
Yaan ni balaa,hawa watu hawana tofauti na yale majambazi yanayotumia siraha.

Hawa ni hatari zaidi ya majambazi wa silaha.Wizi walioufanya utaathiri future ya taifa letu!Ningekuwa na uwezo wangehukumiwa kunyongwa
 
AIBU HII YA KANISA KATOLIKI KULAMBA MAMILIONI YA ESCROW!! Askofu Methodius Kilaini ametuvua nguo Wakatoliki wote, siyo tu Tanzania, bali Dunia nzima kwa ujumla! Amelamba 80M/= za ESCROW. Hii ni fedheha na aibu kubwa kwa Kanisa hili lenye kimbelembele cha kuwanyooshea vidole wengine kwa Ufisadi. Ama kweli hujafa hujaumbika, Askofu Kilaini na Mwenzake aliyelamba Milioni 40 wametutia aibu nzito Wakatoliki wa nchi hii. Shame on Kilaini, shame on Kanisa!
 
Piga chini huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…