HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,197 Nov 26, 2014 #61 Online live streams???????
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Nov 26, 2014 #62 KwanzaJamii Radio on USTREAM: kwa habari za jamii. Local News sikiliza hapa
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 10,677 Reaction score 11,768 Nov 26, 2014 #63 Opera Min said: zitto ana ongea kwa confidende na zile kombati za cdm ana pendeza kweli daah sema ndio hivyo tena hatu mtaki cdm. Click to expand... Tupo kwenye swala la kitaifa, yao mambo ya vyama hatuyataki
Opera Min said: zitto ana ongea kwa confidende na zile kombati za cdm ana pendeza kweli daah sema ndio hivyo tena hatu mtaki cdm. Click to expand... Tupo kwenye swala la kitaifa, yao mambo ya vyama hatuyataki
O odwinsenkono Member Joined Nov 8, 2014 Posts 18 Reaction score 4 Nov 26, 2014 #64 hekimatele said: Sio kazi ndogo hiyo mkuu. Life on the line Click to expand... Huyu zzk namkubali sana
hekimatele said: Sio kazi ndogo hiyo mkuu. Life on the line Click to expand... Huyu zzk namkubali sana
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 7,781 Reaction score 6,966 Nov 26, 2014 #65 Zitto katika ubora wake. Kuteleza sio kuanguka etii.
M moses kwang New Member Joined Nov 24, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Nov 26, 2014 #66 tanesco na IPTL waltegemea wataendesh vp bila kuwa na kamat ya uendeshaj!!?
mutisya mutambu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 208 Reaction score 82 Nov 26, 2014 #67 Fedha ni ya UMMA
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,496 Nov 26, 2014 #68 Mpaka hapa tumepiga hatua kitendo cha kusomwa tu
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Nov 26, 2014 #69 Fedha ya Umma!
The Listener JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 993 Reaction score 216 Nov 26, 2014 #70 kamati imebaini kuwa pesa yote ilikuwa ni ya umma. Ubishi wote kwisha The Listener Ex Detective
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Nov 26, 2014 #71 Pesa za umma
G Gololi One JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 576 Reaction score 365 Nov 26, 2014 #72 Tusubire tu tuwe wapole.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 26, 2014 #73 Ripoti inaonekana imeshiba.
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,496 Nov 26, 2014 #74 Bring our money back
The Listener JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 993 Reaction score 216 Nov 26, 2014 #75 Pesa ya kodi TRA PIA ILILIPWA KATIKA AKAUNTI HUSIKA YA ESCROW
I issa ramadhani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 1,319 Reaction score 260 Nov 26, 2014 #76 mbunge machachari wa bunge la JMT.anaendelea kuchambua ripoti ya PAC kuhusu akaunt ya tegeta escrow.kipi kitafuata baada taarifa hiyo
mbunge machachari wa bunge la JMT.anaendelea kuchambua ripoti ya PAC kuhusu akaunt ya tegeta escrow.kipi kitafuata baada taarifa hiyo
M Mende Mzee Member Joined Nov 8, 2014 Posts 8 Reaction score 1 Nov 26, 2014 #77 Wametukatia Umeme hawa -------
L LENDEYSON JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 2,996 Reaction score 2,659 Nov 26, 2014 #78 Pesa ni za Umma kwani kuna pesa za Tanesco,na pesa za TRA
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 26, 2014 #79 Muhongo,,,,,,,,,,Pesa za IPTL.
M Muwazi JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 355 Reaction score 81 Nov 26, 2014 #80 Leo kinaeleweka Zito anaendelea kunguruma na kutaja watu ambao hwakuwa sahihi wakiwemo Muhongo na mwanasheria mkuu wa serikali.
Leo kinaeleweka Zito anaendelea kunguruma na kutaja watu ambao hwakuwa sahihi wakiwemo Muhongo na mwanasheria mkuu wa serikali.