Full Time: 4 Yanga Vs 0 Njombe Mji uwanja wa Uhuru Dar, Ligi kuu Tanzania bara

Njombe mji wanashuka dalaja.
Hawachangamki uwanjani, wanacheza mpira polepole kama wanaumwa, hawana spidi, hawakimbii kwa bidii, wanacheza kwa kujiamini sana kama wameshinda mechi.
Njombe kuna vilima na baridi sijui kwanini wanashindwa kukimbia asubuhi kutafuta pumzi.
Njombe mji kwa mpira huo lazima mshuke dalaja. Mnacheza Ki-brazameni sana tena mno.
 
Nina shaka na umri wako....Na kama ni mtu mzima basi kuna tatizo mahali...
Mimi sio mtu mzima tu. Mimi ni babu yako... Kama una mashaka kamuulize bibi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…