Full Time: 4 Yanga Vs 0 Njombe Mji uwanja wa Uhuru Dar, Ligi kuu Tanzania bara

Full Time: 4 Yanga Vs 0 Njombe Mji uwanja wa Uhuru Dar, Ligi kuu Tanzania bara

Njombe mji wanashuka dalaja.
Hawachangamki uwanjani, wanacheza mpira polepole kama wanaumwa, hawana spidi, hawakimbii kwa bidii, wanacheza kwa kujiamini sana kama wameshinda mechi.
Njombe kuna vilima na baridi sijui kwanini wanashindwa kukimbia asubuhi kutafuta pumzi.
Njombe mji kwa mpira huo lazima mshuke dalaja. Mnacheza Ki-brazameni sana tena mno.
 
Back
Top Bottom