joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wewe unalionna goli? Kwani hizo dk wanacheza peke yao au na wenzao.Sasa hizo dk6 unadhani hawapati goli
Kwa dk zilizo baki Labla wakakodi kikosi cha Ufaransa kilicho cheza fainali za world cup kule QuatarSasa hizo dk6 unadhani hawapati goli
Yanga lialia we joseSisi mashabiki wa Simba tunafurahi Ahly kutolewa[emoji6]
Yao yao mtupu[emoji4]Huyu beki wa kulia wa Mamelod noma sana amepiga kazi sana
JeshiiiiiYao yao mtupu[emoji4]
Vp washapata goli?Sasa hizo dk6 unadhani hawapati goli
99Hivi kwani ni dkk ya ngap