Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Mamelody apewe kombe lake mapema.Mamelody vs wyda ...pAy back time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamelody apewe kombe lake mapema.Mamelody vs wyda ...pAy back time
ExactlyTell her
Historia zipo Ili zivunjweMamelodi ni kibonde wa wydad, sina uhakika kama alishawahi kumfunga wydad
Wydad casablanca [emoji353]
Yanga b unaliwa weweMamenlody ni Yanga B, hilo halina ubishi.
Nilishangaa Al Ahly walivyofurahia kupata Ile penaltyHajafungwa penalty toka msimu Jana wa CAF
Najua interest yakoMamelodi ni kibonde wa wydad, sina uhakika kama alishawahi kumfunga wydad
Wydad casablanca [emoji353]
Na kisha akafuzu, Mamelod hakupata goli Cairo akaaga mashindano. Ukisikia sifa za kijinga ndio hizo.shida ya uto wenye akili ni wawili tu af mpira mnaojua ni wa magazetini tu
kwanza unapaswa kujua kuwa Simba ndo timu pekee iliyofunga bao kwenye huo uwanja wa Cairo kwenye ayo mashindano.
Najua interest yako
Hakuna Second leg.. match inapigwa moja tu Neutral GroundMamelodi ana pita na Wydad mapema tena first leg biashara inaisha
H2HMamelodi ni kibonde wa wydad, sina uhakika kama alishawahi kumfunga wydad
Wydad casablanca [emoji353]
Nilisoma naeWilliams huyu jamaa ndio kipa Bora afrika sema huwa hazungumzwi sana na nadhani ndie mchezaji Bora afrika kwa Sasa
Kutoa penalty kwake huwa hata sio shida
Kufanya save ni kawaida kuanzisha mashambulizi kawaida
Tangu game ya Petro de Luanda hadi Leo ye ndie man of the match