Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

shida ya uto wenye akili ni wawili tu af mpira mnaojua ni wa magazetini tu

kwanza unapaswa kujua kuwa Simba ndo timu pekee iliyofunga bao kwenye huo uwanja wa Cairo kwenye ayo mashindano.
Na kisha akafuzu, Mamelod hakupata goli Cairo akaaga mashindano. Ukisikia sifa za kijinga ndio hizo.
 
Williams huyu jamaa ndio kipa Bora afrika sema huwa hazungumzwi sana na nadhani ndie mchezaji Bora afrika kwa Sasa
Kutoa penalty kwake huwa hata sio shida
Kufanya save ni kawaida kuanzisha mashambulizi kawaida
Tangu game ya Petro de Luanda hadi Leo ye ndie man of the match
Nilisoma nae
 
Back
Top Bottom