Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Ndio unavyojifariji kwa mtindo huu?
Makolokolo SC fans watakupopoa Ndugu yangu maana walijiandaa kututukana Wananchi kuwa wao ni wa kimataifa wakiwa na matarajio Al Ahly atamtoa Mamelodi Sundowns, kilichowapata hadi hivi sasa ni "shangilia lakini usiniguse" [emoji124][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hili ndiyo pira objective sasa maana hata sisi Makolokolo SC huwa tunashinda au kusuluhu lakini hatufurahiagi kabisa pira biriani zaidi ya pira papatu papatu [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
shida ya uto wenye akili ni wawili tu af mpira mnaojua ni wa magazetini tu

kwanza unapaswa kujua kuwa Simba ndo timu pekee iliyofunga bao kwenye huo uwanja wa Cairo kwenye ayo mashindano.
 
Mamelodi alinyimwa penalti ya wazi kabisa !
Yote kwa yote nimefurahi Ah Ahly ametolewa .
Walikuwa Wanasubiri mbeleko ya refa dakika za lala salama var ikawaumbua.
Aliyegundua var Kweli Ana maarifa mengi na kama sio bao la Frank lampard kusawazisha dhidi ya ujerumani Kwenye Euro likakataliwa pengine tusingeona var kwenye football au ingechelewa kuingizwa.
Uwanja wa Cairo uliojaa watu 50000 dakika za mwisho ulikuwa kimya kama hakuna washangiliaji.
Hakika mamelodi alikaza sio Suala la mchezo Al ahly kutolewa kwake.
Hilo goli halikuwa worldcup chief?
Na nakumbuka lilizaa goal line technology not VAR
 
Poleni sana wakamaria
 

Attachments

  • Screenshot_20231102_004534.jpg
    Screenshot_20231102_004534.jpg
    27.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom