Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Ngoja nilale sasa, nikiamka asbh ubao utakuwa unasoma 1-1 au 2-1πŸ€£πŸ˜‚
Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ acha uoga wewe...

Hii mechi mnashinda...
 
Hii mechi pale uwanani ni kama ile ya Simba na warabu, haina mashabiki , mazungumzo ya refa na wachezaji yanasikika, kelele zinszosikika uwanjani ni wachezaji kuombana pasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…