TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ulitaka mechi isichezwe au iweje labda?Duuh! Shughuli yote ile kumbe wako palepale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka mechi isichezwe au iweje labda?Duuh! Shughuli yote ile kumbe wako palepale
😂 sawa Mkuu..mmeshinda ila kiroho kinadundaUsije tu ukaikana hii kauli yako..!! Usisahau, unaweza usioge na mjini ukaenda..!!
Kombe dogo limekujaje humu. Kwenye mjadala wa kombe kubwa!
Uto ni kama baiskeli ya kunoa visu na mapanga kelele nyingi lakini iko palepaleUlitaka mechi isichezwe au iweje labda?
Mtu kama huyu sasa akija hapa majibu yake atakwambia aah Ibenge amewaachia tu.Wewe Shanily uje kuchukua risiti yako Cc Shadeeya ephen_ Bantu Lady
Ndoto zetu tuachie wenyewe
View attachment 3200683
Tulikuwepo miaka 4 mfululu tumetoka kwa muda tutarejea kuwafundisha namna inavyochezwa hatua za awali... 🤣 🤣 🤣
😀😃😃😃😃Wanapata tabu sanaMtu kama huyu sasa akija hapa majibu yake atakwambia aah Ibenge amewaachia tu.
Yaani wana full m'weweseko. 😅😅
Hahahaaa. Na bado Mkuu tarehe 18 ndo watateseka haswaa.😀😃😃😃😃Wanapata tabu sana
Exactly 😂 😁Hahahaaa. Na bado Mkuu tarehe 18 ndo watateseka haswaa.
Nina risiti zao nyingi sana😃😀Hahahaaa. Na bado Mkuu tarehe 18 ndo watateseka haswaa.
Nilikuwa chaka halafu network ikawa down..ila ilikuwa sawa baadaeUmelala mkuu
Hongera.Nilikuwa chaka halafu network ikawa down..ila ilikuwa sawa baadae
Thank you Chief[emoji2936][emoji2935]Hongera.
Good Updates
Kalpana, tafadhali nakuomba mara moja ibox uniondolee upweke. Nakutegemea babyHongera mtani Ibenge alisema hana cha kupoteza
ilipofika tarehe 18/01/2024 kikatokea nini?🙄Na bado Mkuu tarehe 18 ndo watateseka haswaa.
Mtano achana na hizi mambo zilishapita. Si ndio?ilipofika tarehe 18/01/2024 kikatokea nini?🙄
😆😀Mtano achana na hizi mambo zilishapita. Si ndio?