Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hapo ndio utofauti ulipoView attachment 3067282
Alishangilia kama kachukua taji
Mpuuzi huyu mtoto mambo ya kiswahili sana, ashukuru Mungu alimpa kipaji cha mpira vinginevyo kwa anavyoonekana angekuwa mcheza vigodoro na kusutana huyu Feisal. Mwenzake Dube kafunga ila hajaonesha shombo kama zakeView attachment 3067282
Alishangilia kama kachukua taji
W.end iniasha kibabe sana totooππππππ
Nikafufuka na Yesuπ€£We jamaa ulikufa?π
Fresh lakin mkuu?Nikafufuka na Yesuπ€£
Muondoeni Engineer Herse ili arudi YangaFei Toto pale Azam siyo sehemu sahihi kwake haoni Prince Dube kakimbia ataishia kukata viuno na kurembua macho tu kwani CL wanatolewa preliminary tu kama kawaida yao.
Ahaa nikajua Mr white naona jamaa anaongea sana kila mahaliBlack kipara, mwaka jana hakuwa na certificate ya kumfanya kocha mkuu...baada ya kuipata sasa ndo kocha mkuu
Angejamba bure...View attachment 3067282
Alishangilia kama kachukua taji