DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Santos06 ningejua ningefata ushauri wako nikaweka kodi nzimanzima hapa ningekuwa naomba Mungu kuche
kwa Uefa wote waliobaki ni watoto kwa liva mzee mzima wakumsumbua pale ni Madrid tu ambae keshafungasha virago
Punguza wenge leo ndio mwisho wa liverpool
Pambaneni na gardiola mapema la sivyo huu msimu mtaambilia patupu
Fa out
Callabao out
Eefa out
Sasa mtachukua nin liverfool mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwawangia Liverpool
Wote wanaotabiri matokeo humu huwa yanakuwa kinyume chake ,
Sasa wewe naona asubuhi tayari unawawangia liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walishindwa kufurukuta hapo kwao wataweza ugenini usije kufikiri hao ni PSG wa Man yuu nadhani cholo unajua nini kimempata pamoja na kwamba alikuwa anaongoza goli mbili, wengine nyumbani hawafanyi ujinga
Ft Bayern 2 - 0 Liverpool
Klabu za England zitang'aa Sana kwenye UCL msimu huu
Klabu za England zitang'aa Sana kwenye UCL msimu huu
Walikutana hatua ya 16 bora, msimu wa 2006/2007 Barcelona akiwa ametoka kunyanyua kwapa. Nou Camp Liverpool alishinda 2 kwa 1, anfield Barcelona alishinda 1 bila. Liverpool alisonga mbele kwa faida ya bao la ugenini. Na msimu huo, Liverpool alifika fainali na AC Milan akapigwa 2 kwa 1.
Watafanya kila namna kuzipunguza ikiwezekana kuzipanga USO kwa uso
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini isiwe Juventus?Na last year si ilikuwa hivyo hivyo lakini wakatolewa wote 😁😁 hope Barca and Man city watakutana final, Barca anabeba
Kwa nini isiwe Juventus?
Ila kwa sasa wanaonekana tishio sana tena kuwepo kwa Cr 7 ndio kumewajenga mno.Yumkini wakafika final lakini wakaangukia pua, Nadhani ushafuatilia records za nyuma....
Ila kwa sasa wanaonekana tishio sana tena kuwepo kwa Cr 7 ndio kumewajenga mno.
Nimejifunza mambo mawili, ama umezaliwa kwenye 90s ama 20s, au kama ni wa kabla ya miaka hiyo, basi ulianza kushabikia mpira baada ya Messi kung'ara zaidi(kuanzia 2009).Sawa, ila King wa dunia alikuwa bado hajaingia nou camp....dis time naombea wakutane aise
Nimejifunza mambo mawili, ama umezaliwa kwenye 90s ama 20s, au kama ni wa kabla ya miaka hiyo, basi ulianza kushabikia mpira baada ya Messi kung'ara zaidi(kuanzia 2009).
Sikumaanisha hivyo, Bali uliposema Messi katika kumbukumbu nipiyoitoa ya msimu wa 2006/2007, wewe ukasema Messi alikuwa hajaingia Camp Nou ndipo nami nikakwambia nilivyokwambia. Maana Messi katika msimu wa 2006/2007 tayari alikuwa ameshaanza kukinukisha pale Barcelona.Hoja yako haina mashiko... kwahiyo yeyote anaemkubali Messi atakuwa kazaliwa 90 kwenda juu sio! Akina edo kumwembe,shaffi dauda nao wamezaliwa kwenye 90 sio!
Binafsi Nimewafuatilia akina zizu, de lima, requelme,gaucho n.k LIVE but sijaona hata mmoja aliyemfikia Messi....ukija kwa Diego na Pele ambao nimewafuatilia you tube bdo sijaona wakuwalinganisha na Messi....So acha kuwa na "DHANA" na usifikiri kila anaemkubali Messi basi mdogo kiumri au ameanza kushabikia juzi tu...laa hasha!
Sikumaanisha hivyo, Bali uliposema Messi katika kumbukumbu nipiyoitoa ya msimu wa 2006/2007, wewe ukasema Messi alikuwa hajaingia Camp Nou ndipo nami nikakwambia nilivyokwambia. Maana Messi katika msimu wa 2006/2007 tayari alikuwa ameshaanza kukinukisha pale Barcelona.
Hahaa kwani washawahi kukutana na Barca?
Wahafiki popote Sheh?? Msimu uliyopita tuu tumeshuhudia akifka Final Vs Madrid.. Ama umejitoa ufahamu...haaaaaaaa!haaaaBado mnasafari ndefu sana, tushawazoea hamfiki popote [emoji23][emoji23][emoji23] natamani sana mkutane na King wa dunia ....si umeona alichowafanya lyon!!!
Wahafiki popote Sheh?? Msimu uliyopita tuu tumeshuhudia akifka Final Vs Madrid.. Ama umejitoa ufahamu...haaaaaaaa!haaaa
Sent using Jamii Forums mobile app