Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Bravos do Maquis 2 - 0 Constantine | CAF Confederation

Mchezo unaendelea dakika ya 24 Bravos anaongoza goli 2-0
 
Bravos wanaweza kufuzu kwenye ili kundi na kuwashangaza watu,,kabakisha mechi 1 dhidi ya Simba kwenye uwanja wake wa nyumbani naona akiokota point zote 9 nyumbani kwake,,kwa uchezaji huu wa Simba anakwenda kupasuka vizuri tu
Simba na haya mashindano kuvuka makundi usiidharau, hata timu ikiwa mbovu we ipe nafasi tu.
 
Bravos wanaweza kufuzu kwenye ili kundi na kuwashangaza watu,,kabakisha mechi 1 dhidi ya Simba kwenye uwanja wake wa nyumbani naona akiokota point zote 9 nyumbani kwake,,kwa uchezaji huu wa Simba anakwenda kupasuka vizuri tu
Hawa jamaa hawana cha nyumbani wala ugenini, Simba ilikuwa chupu chupu afungwe au atoe sare. Wanacheza mpira haswa na Simba ikapoteana kipindi cha pili.
 
2-1 dakika ya 67 lolote linaweza kutokea hapa
 
Bravos inatakiwa ashinde asikubali unyonge kama Yanga
Hivi sheria ya head to head siku hizi haipo? Au ina apply katika mazingira gani, mbona Simba kapelekwa nafasi ya 3 wakati alimfunga huyu Bravo?
 
Attachments

  • IMG_20241215_203454.jpg
    IMG_20241215_203454.jpg
    221.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom