Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Simba tuko paleeee nyie 🐸 ebu someni msimamo mlete jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao hawa ni wageni WA haya mashindano. Wamekuja MJINI juzi😂😂😂. Sisi tunashinda mechi zetu hayo ya wengine hatujui😄😄Hapo Simba ni ya ngapi kama Mpira ukiisha hivi?
Bravo kafunga magoli mengi 5, simba 4...Hivi sheria ya head to head siku hizi haipo? Au ina apply katika mazingira gani, mbona Simba kapelekwa nafasi ya 3 wakati alimfunga huyu Bravo?
Referees wameshagudua njanja ya waarabu so ni mwendo wa kuwashughulikia tu😁😁Hapa pia zimeongezwa dakika 3 na sekunde 24. juu ya dakika 4 zilizokuwa zimeongezwa.
Semeni na hapa Simba ndiyo inayobebwa😃😄😀
Kazi ipoMsimamo wa kundi
Hapa wanajifanya hawaoni.View attachment 3177534Ziliongezwa Dakika 4 zimefika 7, Utopolo wasemeni na hawa
Sasa naelewa ni kwa nini CAF walisema hili ni kundi humu.Raundi ya 4 na 5 itatoa mwanga wa hatma ya kundi.
Goal difference ni +1 kwa timu tatu afu head to head Simba kamfunga Bravos hawezi kuwa namba tatu labda kila mtu ana mtazamo wake wa kupanga.Kama wanafuata Alphabetical order inaweza kuwa sawaMsimamo wa kundi
Nijibu hili swaliHapo Simba ni ya ngapi kama Mpira ukiisha hivi?
Head to head haiwezi kutumika hapa kwavile hawajacheza second leg. Wakishacheza second leg wanataangalia kwanza head to head kabla ya magoli. Hapo kilichombeba Bravo ni kuwa kafunga magoli mengiGoal difference ni +1 kwa timu tatu afu head to head Simba kamfunga Bravos hawezi kuwa namba tatu labda kila mtu ana mtazamo wake wa kupanga.Kama wanafuata Alphabetical order inaweza kuwa sawa