Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Hapa pia zimeongezwa dakika 3 na sekunde 24. juu ya dakika 4 zilizokuwa zimeongezwa.

Semeni na hapa Simba ndiyo inayobebwa😃😄😀
 
Msimamo wa kundi
 

Attachments

  • IMG_20241215_205812.jpg
    IMG_20241215_205812.jpg
    173.6 KB · Views: 3
Raundi ya 4 na 5 itatoa mwanga wa hatma ya kundi.
 
Kuna mtu ana point 1 anaota kupita. Cheki wanaume huku
Ndoto wameshazizoea kwasababu msimu uliopita walikuwa na point 2 na mwisho wa siku ndoto hizo hizo zikawapeleka robo fainali
 

Attachments

  • IMG_20241213_211242.jpg
    IMG_20241213_211242.jpg
    343.4 KB · Views: 3
Goal difference ni +1 kwa timu tatu afu head to head Simba kamfunga Bravos hawezi kuwa namba tatu labda kila mtu ana mtazamo wake wa kupanga.Kama wanafuata Alphabetical order inaweza kuwa sawa
Head to head haiwezi kutumika hapa kwavile hawajacheza second leg. Wakishacheza second leg wanataangalia kwanza head to head kabla ya magoli. Hapo kilichombeba Bravo ni kuwa kafunga magoli mengi
 
Back
Top Bottom