DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Taifa Stars Kufunga Kundi B CHAN 2024 Leo
Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya CHAN 2024, Kundi B.
Stars tayari imejihakikishia tiketi ya kusonga hatua inayofuata, na mchezo wa leo utakuwa wa heshima pamoja na kuimarisha rekodi yake ndani ya kundi.
Matokeo ya Taifa Stars katika hatua ya makundi:
Mwonekano wa kundi B kabla ya mechi ya leo
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kikiwasili uwanjani kucheza na Jamhuri ya Kati
Kikosi kinachoanza cha 'Stars' dhidi ya timu ya taifa ya jamhuri ya kati
Dakika ya kwanza '''Goaaaal Ibrahimu Hamad lakini inakuwa Off Side
Dakika ya 13' kona kwa Jamhuri ya kati lakini inadhibitiwa vizuri na walinzi wa Stars
Dakika ya 28' Tanzania wanapata Free kick karibu na 18 ya mpinzani na kadi ya njano kwa jamhuri ya kati Flory Yangao'
Dakika ya 32 ' Kona kwa Stars na wanashindwa kutumia nafasi vizuri
Dakika 2' zinaongezwa kukamilisha kipindi cha kwanza
HT' Jamhuri ya kati 0- 0 Tanzania
Kipindi cha pili kimeanza stars wanapata Free kick kupitia kwa Feisal
Dakika ya 66' mabadiliko kwa stars anatoka Skehan hamis anaingia Idd Naddo
Dakika ya 66 ' anatoka Ibrahimu Ahmada anaingia Nassor Saadun
Dakika ya 69' Abdul Hamis Suleiman anapewa kadi ya njano
Dakika ya 72' anatoka Ahmed Pipino anaingia Jammy Simba
Dakika ya 78' Stars wanapata Free kick karibu na eneo la 18 la jamhuri ya kati
Zinaongezwa dakika 4' kukamilisha dakika 90' za mchezo
FT' Jamhuri ya kati 0-0 Tanzania
Tanzania anakuwa kinara wa kundi B CHan 2024 wakiwa na alama 10.
Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya CHAN 2024, Kundi B.
Stars tayari imejihakikishia tiketi ya kusonga hatua inayofuata, na mchezo wa leo utakuwa wa heshima pamoja na kuimarisha rekodi yake ndani ya kundi.
Matokeo ya Taifa Stars katika hatua ya makundi:
- Tanzania 2–0 Burkina Faso
- Tanzania 1– 0 Mauritainia
- Tanzania 2 – 1 Madagascar