Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Swali liko nje ya madaNyie mna point ngapi kwenye kundi lenu?
GoooooooooolSisi tuna point, wee jee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UmepatiaSimba 1 - Constantine 2
Ndio hayo mlilala na medali zake mwezi mzimaLolote liwakute. Mashindano yenyewe ya looser
Tukiwa na mabomu ya kutosha na spana za aina zoteKamati kama kamati ya ROHO MBAYA ndiyo mida yetu, ya kuingia πππππ
Na walevi pia ongezeaIla wachezaji wa Simba ni average Sana. Balua, Ahoua na Kibu.
Ana 0 Yaiππ Simba lengo ilikuwa droo lakini hesabu zimegoma. Matokeo haya yalitarajiwa Mwarabu Yuko Kwao.Sisi tuna point, wee jee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliskika kubwa jinga moja baada ya kukojolewa na mwarabu aliyevaa msuli viwiliAna 0 Yaiππ Simba lengo ilikuwa droo lakini hesabu zimegoma. Matokeo haya yalitarajiwa Mwarabu Yuko Kwao.
Lete ngomaaaKamati kama kamati ya ROHO MBAYA ndiyo mida yetu, ya kuingia πππππ
Acha kabisa ni aibuJana sikujua kama mnacheza mkuu nimeona tu mda huu humu ,kumbe mlikandwaπππ
Ndio lipi hilo kkkt? Ukwata? Rc? Sabato? Ama gani?Simba wangecheza kwa pressing ....hawa jamaa sio kanisa