mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Ya Jana umeshasahau stress zitakuua mbuzi wewe point 0 goli 0 tangu mashindano yaanze.Aliskika kubwa jinga moja baada ya kukojolewa na mwarabu aliyevaa msuli viwili
Wamekufa kiume wanetu π π π π π π π π π π π π πCSC 2
SSC 1
Makolo wamepakatwa mtumeNini kimetokea π π π π π
Wamelambwa ππππππππππππππππππππMakolo wamepakatwa mtume
Yanga mmefurahi, khaahImekuuma eeee
Usifurahie sana anguko la adui Mkuu. Kweli mie mwananchi ila kupoteza Kwa Simba Leo imeniuma sana. Napata Panadol hapaKumeanza kuchangamka π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
GooooooooooooooolYa Jana umeshasahau stress zitakuua mbuzi wewe point 0 goli 0 tangu mashindano yaanze.
Sawa sawa πππππππππππππ ila fikeni fainali basi kama wenzenuHaiumi sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio Nini sasaHiki hapa
View attachment 3172541
Bora sisi tumetoka 2-1 kiume π€£π€£Kumeanza kuchangamka π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£