Naona waarabu wa Buza mpo kushabikia waarabu wenzenuMpira unakanyagwa sana hapa na Waarabu.
Ikimpendeza Mungu, mpigwe ili tusichekane.Bwana akafanye njia pasipo na njia
Kama diarra😀😄😃Wachezaji wa Simba wanacheza huku miguu inatetemeka.
Tangu lini upo Simba 🙄[emoji881]
[emoji3590][emoji833][emoji170]
Hallah [emoji120][emoji120]
Ushindi ni muhimu.
Hawa waarabu wanasakata mpira utadhani Liverpool.
Hata wakipugwa, haipunguzi maumivu ya kipigo chetu Jana.Ubaya ubaya tu wapigwe tu
🤣🤣Tulia bhana...daahIkimpendeza Mungu, mpigwe ili tusichekane.
Update uzi umeishia dakika ya 2 sasa hivi 20Match Day , shirikishoView attachment 3172032
View attachment 3171643
Vikosi vya leo
Simba View attachment 3172377
Constantine
View attachment 3172373
MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania
kipindi cha kwanza kimeanza
2' Constantine 0-0 Simba
Sikuzote cuteTangu lini upo Simba 🙄