Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Dodoma Jiji VS Yanga SC
| NBC Premier League
| Jamuhri Dodoma
| Disemba 25, 2024
Saa kumi jioni

Dakika 19, Mzize anawapatia goli Yanga

Dakika 29, Aziz Ki anatupia goli la pili.

Dakika 38, Mzize anawapa goli 3 Yanga.

Dakika 62, Dube anafunga goli la nne
 
Eeeh Mwenyezi Mungu tusaidie tucheze mechi salama na tumalize salama kwa ushindi. Utukinge na yote mabaya tunayoombewa na maadui zetu. Wajaalie neema tuweze kushuhudia pamoja nao mazuri mengi ambayo Yanga inakuja kuyafanya kwa neema na baraka zako. Amina

Kila la kheri wananchi 🟢🟡
 
Saa ngapi wakuu? Huyu jamaa anapenda kuleta nyuzi za mechi ya yanga ila detail zote huwa haziweki hapa.
 
Back
Top Bottom