Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe,,tunajiuliza maswali na unajijibu mwenyewe shida nini? Singida ndio mdudu Gani,,ligi bado Ina mechi 16 kwa maana singida ndio anacheza mechi peke yake? Atusaidie kivipi? Yanga hii ni ya kusaidiwa,,ebu jitafakari kidogo!Kwa hiyo mnategemea shangazi zenu Singida wawasaidie siyo?
Njia pekee ya Yanga kuongoza ligi msimu huu ni itolewe mashindano ya CAF halafu Simba iwe na viporo. Ubaya ubwela ni kuwa Simba ikimaliza viporo tu inarudi kileleni.