Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
We ni kizibo kweliUsijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
Sasa usipokosea utafungwaje