Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Nasikia watu wamefunga magoli ya offside leo. Kwa hiyo wanategemea kuchukua ubingwa kwa magoli ya offside na ya mkono, ngoja tuone.
 
Goli la papatu papatu la kujifunga!! ni aiobu kujisifia goli kama hilo!! Japo ni goli kikanuni lakini uto hawezi kujisifia goli hilo kwa haki!
Goli kama ilo wewe mbona ulishindwa kulipata? Mbona magoli ya namna iyo ndio yamekuweka juu ya msimamo au unajizima data
 
Nasikia watu wamefunga magoli ya offside leo. Kwa hiyo wanategemea kuchukua ubingwa kwa magoli ya offside na ya mkono, ngoja tuone.
Tulishakubaliana Kila timu ishinde mechi zake,,milio mnayoanza kutoa sasa hivi atuna cha kuwasaidia sisi,,magoli mliyofaidika nayo ya penalty za Rose mhando mlisema ubaya ubwela sasa magoli ya mkono na offside yatafungwa mengi ilimradi jambo likamilike,,na Azam alifungwa goli za offside kule Zanzibar na mlikenua na kuhesabu sasa mtatoa milio ya Kila aina ndio kwanza koki zimefunguliwa!
 
Penati zipo kwa mujibu wa sheria za mpira wa mguu na zote walizopata Simba zimetolewa kihalalali bin haki. Sasa niambie ni wapi sheria za mpira zinaruhusu magoli ya mkono na ya offside.
 
Mimi ni Yanga damu damu damu tangu nilipohudhuria mechii kati ya Yanga na SImba pale Nyamagana miaka mingi iliyopita nikivutiwa sana na Leodgar Tenga hadi nikaamua kuwa injinia kama yeye. Ila kwa sasa hivi bado Yanga wana vikwazo viwili vya kufutra kabla hawajafikiria ubingwa wa 2024/25. Kwanza waondoe goal difference (GD) ya mabao manne, halafu waongeze angalu point mbili zaidi ya Simba. Kwa simba hii ya sasa, naona kuwa huo ni mlima mkubwa sana kwa Yanga yangu. Time will tell.

1735165182928.png
 
Penati zipo kwa mujibu wa sheria za mpira wa mguu na zote walizopata Simba zimetolewa kihalalali bin haki. Sasa niambie ni wapi sheria za mpira zinaruhusu magoli ya mkono na ya offside.
Basi kama ni halali bin haki kwenu na kwa wenzenu ni ivyo ivyo,,tukutane mwisho wa msimu!
 
Hauwezi kulingalisha uhuni mnaofanya na kile kinachotokea mechi za Simba. Hatufanani na nyie
 
Mimi ni Yanga damu damu damu tangu nilipohudhuria mechii kati ya Yanga na SImba pale Nyamagana miaka mingi iliyopita nikivutiwa sana na Leodgar Tenga hadi nikaamua kuwa injinia kama yeye. Ila kwa sasa hivi bado Yanga wana vikwazo viwili vya kufutra kabla hawajafikiria ubingwa wa 2024/25. Kwanza waondo godal deffere (GD) na mabao manne, halafu waongeze angalu point mbili zaid ya Simba. Kwa simba hii ya sasa, naona kuwa huo ni mlima mkubwa sana kwa Yanga yangu. Time will tell.

View attachment 3185241
Kwenye mpira una wasiwasi na gap ya point 1? Point 1 si mwenzio akitoa sare tu na wewe ukishinda hapo umeshamuacha. Umeongelea kuhusu goal difference, hivi unajua hadi kufikia ile mechi Yanga anafungwa na Tabora, kulikuwa na tofauti ya magoli 8. Lakini unaona kadri mechi zinavyozidi kuendelea gap zinapungua taratibu saivi imebakia tofauti ya magoli 4 tu. Sijaona cha kukatisha tamaa hapo ikiwa bado kuna mechi nyingi na Yanga ndio ina rejea hivyo kwenye ubora wake
 
Mimi ni Yanga damu damu damu tangu nilipohudhuria mechii kati ya Yanga na SImba pale Nyamagana miaka mingi iliyopita nikivutiwa sana na Leodgar Tenga hadi nikaamua kuwa injinia kama yeye. Ila kwa sasa hivi bado Yanga wana vikwazo viwili vya kufutra kabla hawajafikiria ubingwa wa 2024/25. Kwanza waondo godal deffere (GD) na mabao manne, halafu waongeze angalu point mbili zaid ya Simba. Kwa simba hii ya sasa, naona kuwa huo ni mlima mkubwa sana kwa Yanga yangu. Time will tell.

View attachment 3185241
Huo ndio mlima kwa uelewa wako? Point 1 ni mlima? Kabla ya jana GD ilikuwa 24 kwa 17,,baada ya jana imekuwa 21 kwa 25,, nadhani picha unaipata,,bado mzunguko wa pili Kuna mechi ya Simba na yanga pia Simba na Azam, pia Azam na yanga,pia Simba na singida black star ukiachia mbali iyo ya keshokutwa,,unadhani point Moja apo aitopatikana? Wewe tulia majibu utayapata soon!
 
Wewe mpira umejifunzia wapi? Umebaki kuhesabu ugumu wa mechi za mwenzio ila zako unaamini unaenda kujiokotea point tu.

Hii misimu mitatu iliyopita, Simba ilidondosha point mapema ikawa inahangaika kumfukuzia Yanga. Meza imegeuzwa, Yanga sasa inahangaika kumfukuzia Simba halafu unategemea wengine wakusaidie wewe kumfikia Simba. Siyo rahisi kama unavyodhani.
 
Basi tulia ivyo ivyo subilia kinachofata tutaelewana siku sio nyingi
 
Kwa hiyo mnategemea shangazi zenu Singida wawasaidie siyo?

Njia pekee ya Yanga kuongoza ligi msimu huu ni itolewe mashindano ya CAF halafu Simba iwe na viporo. Ubaya ubwela ni kuwa Simba ikimaliza viporo tu inarudi kileleni.
 
Back
Top Bottom