Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Usijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
Mpira umejifunzia ukubwani acha kelele
Hakuna kitu hapo! kinachofanyika ni kujitekenya na kucheka mwenyewe!! Mfadhiliwa lazima amwachie mfadhili!! Kipima joto ni mechi za kimataifa!! huko GSM hana timu anayoifadhili!!
Mtanena kwa lugha na bado,,timu Bora itajulikana mwisho wa msimu
 
Hivi kuna goli gani kwenye mchezo wa mpira wa miguu uliwahi kuona limefungwa pasipo makosa ya mpinzani? Wewe ndiye yule Rage aliyekuwa anasema kuwa ni mbumbumbu
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira

1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani

2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.

Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
 
Hakuna kitu hapo! kinachofanyika ni kujitekenya na kucheka mwenyewe!! Mfadhiliwa lazima amwachie mfadhili!! Kipima joto ni mechi za kimataifa!! huko GSM hana timu anayoifadhili!!
Punguza sauti mkuu uto hawapendi kusikia habari za CAFCL wanakobuluza mkia.

Waache wafurahie matunda za zabibu made in GSM
 
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira

1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani

2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.

Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
Sijafanya kitu leo, Dodoma walijifunga magoli yote manne wewe ndiye uliyefanya kitu jana kwa kupewa penati dakika za nyongeza. Kuvamia mpira ukubwani ndio matokeo yake ndio haya unaandika pumba tupu.
 
Usijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
Na mpira ni mchezo wa makosa, fanya makosa mwenzako anufaike nayo.
 
Sijafanya kitu leo, Dodoma walijifunga magoli yote manne wewe ndiye uliyefanya kitu jana kwa kupewa penati dakika za nyongeza. Kuvamia mpira ukubwani ndio matokeo yake ndio haya unaandika pumba tupu.
Hata simba jana hakufanya kitu,Tazama alivyocheza

Bado Dodoma Jiji sio kipimo sahihi kwa Yanga kusema imeimarika.
 
Na mpira ni mchezo wa makosa, fanya makosa mwenzako anufaike nayo.
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira

1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani

2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.

Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
 
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira

1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani

2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.

Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
Yanga imefanya yote.
Na timu bora siku zote ina uwezo wa kutumia fursa ya makosa ya mpinzani ili kupata matokeo.
Kitendo cha Yanga kutumia nafasi ya makosa ya Dodoma Jiji imeonesha ukomavu wa safu yake ya ushambuliaji kuwa ipo makini.
Na huo ndio mpira.
Labda kama ulete porojo nyingine bro.
 
Msimu huu Simba haijafungwa na Yanga!?
Au msimu huu nao ni historia!??
Goli la papatu papatu la kujifunga!! ni aiobu kujisifia goli kama hilo!! Japo ni goli kikanuni lakini uto hawezi kujisifia goli hilo kwa haki!
 
Back
Top Bottom