Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Usijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
 
Saizi hutasikia zile kauli za Sudi sio kocha.

Saizi hutasikia Hamisa anatuharibia mchezaji wetu.

Hutasikia Hersi alifanya kosa kumtimua Gamondi.

Na hata huyo Sudi hutamsikia akisema wachezaji hawana fitinesi. Wala huwezi kumsikia akilalamika kuwa ana muda mchache tangu akabidhiwe timu.

Sasa ngoja ipatikane mechi moja tu iwapalie.

Kwani mpira sio mchezo wa wazi kila mtu anaona? Wachezaji walikuwa hata pasi 5 kupiga kwa usahihi hawawezi kufikisha, lakini kwasasa tunaona kuna improvement kwenye timu mechi tatu goli 11
 
Tujisifu kushinda kwa bahati na sibu za refa si ndio bwana kolo
Usijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona t
 
Mfadhiliwa (Dodoma Jiji) hana ubavu wa kula jeuri yake mbele ya mfadhili wake (GSM)!
 
Usijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
Hivi kuna goli gani kwenye mchezo wa mpira wa miguu uliwahi kuona limefungwa pasipo makosa ya mpinzani? Wewe ndiye yule Rage aliyekuwa anasema kuwa ni mbumbumbu
 
Simba anashinda mechi zake kwa kupambana, yanga alishinda kabla hata ligi haijaanza, rehea udhamini wa gem ja pattern ya ushindi wa yanga dhidi ya timu dhaminiwa



Nani asiyejua kocha wa dodoma ni yanga asilia? Hii mechi ni staged
Kwahiyo hata Simba nao ni tawi la Yanga!?
Una akili kisoda kweli wewe,ukiambiwa uthibitishe unachosema huna hata moja unaloweza kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom