Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Haya baadhi ya mabomu Yanga Yaliyopiga mochuwari

DODOMA. 0-4 .. (INAENDELEA)
SIMBA. 1-5
PRISON. 3-2
 
Kuwa na adabu huwezi kumfananisha Kapombe na Ranjiti
Kama uliiangalia ile mechi ya mwisho uliopigwa nangai kimoko huyo kapombe si alikimbizwa au umesahau tulete clipu na ile Alioteleza
 
Simba anashinda mechi zake kwa kupambana, yanga alishinda kabla hata ligi haijaanza, rehea udhamini wa gem ja pattern ya ushindi wa yanga dhidi ya timu dhaminiwa
Kuna tofauti kubwa sana ya kushinda goli nyingi na penati ikiwemo halafu kuna kushinda mechi iliyoamuliwa kwa penati baada ya kuongezwa dakika 6. Mambo ya refa hakikisha mpira haumaliziki bila ya Bwana yule kushinda sisi hatuna. 😂😂

utalalamika vipi unapigiwa mpira mkubwa na nafasi zinatengenezwa swafiiii
Nani asiyejua kocha wa dodoma ni yanga asilia? Hii mechi ni staged
 
Simba anashinda mechi zake kwa kupambana, yanga alishinda kabla hata ligi haijaanza, rehea udhamini wa gem ja pattern ya ushindi wa yanga dhidi ya timu dhaminiwa

Nani asiyejua kocha wa dodoma ni yanga asilia? Hii mechi ni staged
Nini sana
 
Back
Top Bottom