Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Mkimaliza kushangilie msisahau kuchungulia msimamo 😬
Jahazi taarab band
20241225_172116.jpg
20240531_053732.jpg
20240812_021149.jpg
 
Hawa Dodoma jiji watakula vuzuri Christmas wamefanya walichoelekezwa.
Bado goli 2 au zaidi.
Mradi isemwe yanga ndio timu ya kwanza kufunga goli nyingi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yanga wamerudi kwenye ubora wao, sisi mwakapenat na kocha letu la mchongo, tutarajie dozi ya maumivu kama msimu jana.
Ubora kwa Aki na Ukwa? Ubora tunapima na Al Hilal,Mc Algiers
 
Aziz Ki kawasaidia sana Dodoma jiji kuwapunguzia idadi ya magoli.
 
Back
Top Bottom