Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Ngoja tuone hatujui.
Ila kama tukipiga mahesabu ya tuki waki na tukimuombea njaa MC alger abondwe huwenda tukavuka kama msimu wa jana.
Inabidi wacheze jihad kwel kwel, yan sio kingine, hapo labda tunaweza penya
 
hadi hapo tuna milioni 15 za goli la mama. Hivi hata timu hizi ndogo nazo huwa zinagawiwa hela?
20240812_021149.jpg
 
Inabidi wacheze jihad kwel kwel, yan sio kingine, hapo labda tunaweza penya
Maana mie nilitizama game.
Yanga kufungwa na Al hilal ilijitakia yenyewe pia kufungwa kipindi cha pili na MC alger ilifanya uzembe kabisa.
Hadi baadhi yetu tukajisemea ingekua Yanga yenye morali kama ya Nasruddin Nabi au Gamondi hizo timu zilikua zichakazwe.
Kama Yanga itaongeza focus na jitihada basi kuna kaupenyo cha kupita.
 
Mpira unapigwa,,Kasi unaiona,,transition unaziona,,na gozi la ngo'mbe linatembezwa kwenye uwanja mgumu,,gusa achia twende kwao inafanya kazi,,pale sio kmc stadium lakini ubao ushasoma 3-0,,wengine wanakuwa kmc stadium lakini wanapata matokeo ya papatupapatu refa niokoe!

Huu Mwaka na Hao Wazee Wenu MEMKWA mtatunga slogan nyingi sana , mlianza na 'nye hamuogopi?
Watu Wakawabandua hivyo hivyo pamoja na 'Umri' Wenu...Sasa mmekuja na 'Gusa achia'

Hivi Vizee havitakawia kuchoka..vitachemsha tu. Muda utaongea
 
Ndio mkuu, unajua hawa jamaa na viwanja vyenye cctv hawapatani kabisa.
Kule Lubumbashi hakuna CCTV? kwanini hamtaki kutumia fursa hii kupeleka vielelezo vyenu FIFA ili hatua zichukuliwe?
 
Tulishawahi kuwa mkiani hivi hivi baada ya mechi tatu na kuambulia point 2 tu hadi mkatukatia tamaa msimu uliopita na mwisho wa siku Yanga ikafuzu kwenye kundi gumu zaidi ya hili.
Mavi ya zamani hayanukagi kijana, tunaongelea CAFCL ya 2024 /2025...

Mpo nafasi ya ngapi?

Hebu sema ukweli hadi Mc Algers na Mazembe waogope kuja kwa Mkapa 😂😂
 
Back
Top Bottom