Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Kama unaamini kuwa sindano je kwasasa hivi hii performance kwanzia mechi dhidi ya Tp Mazembe, Mashujaa, Prisons na Dodoma imetokana na sindano?
Hoja yako ni nini?

Uto bado mnajitafuta huko CAFCL...

Najua hujui kama unajua mko mkiani huko kwa kundi lenu...

What the problem kwa timu bingwa kubuluza mkia?
 
Mpira unapigwa,,Kasi unaiona,,transition unaziona,,na gozi la ngo'mbe linatembezwa kwenye uwanja mgumu,,gusa achia twende kwao inafanya kazi,,pale sio kmc stadium lakini ubao ushasoma 3-0,,wengine wanakuwa kmc stadium lakini wanapata matokeo ya papatupapatu refa niokoe!
 
Hoja yako ni nini?

Uto bado mnajitafuta huko CAFCL...

Najua hujui kama unajua mko mkiani huko kwa kundi lenu...

What the problem kwa timu bingwa kubuluzs mkia?
Milio hadi kuandika hauwezi😃😀😀😀😀😀
20241225_172116.jpg
 
Kuna tofauti kubwa sana ya kushinda goli nyingi na penati ikiwemo halafu kuna kushinda mechi iliyoamuliwa kwa penati baada ya kuongezwa dakika 6. Mambo ya refa hakikisha mpira haumaliziki bila ya Bwana yule kushinda sisi hatuna. 😂😂
 
Kama unaamini kuwa sindano je kwasasa hivi hii performance kwanzia mechi dhidi ya Tp Mazembe, Mashujaa, Prisons na Dodoma imetokana na sindano?
Ndio mkuu, unajua hawa jamaa na viwanja vyenye cctv hawapatani kabisa.
 
Unayo Pointi Moja....Usijisahaulishe huko kimataifa Kazi ya ishaisha.

Hakuna kina mexime huko.
Hata msimu wa mwaka jana Yanga ilishika mkia hivi hivi ila ikapita kwa nafasi ya pili.
Hivyo wacha tuone itakuaje mpira una mambo mengi.
 
Hoja yako ni nini?

Uto bado mnajitafuta huko CAFCL...

Najua hujui kama unajua mko mkiani huko kwa kundi lenu...

What the problem kwa timu bingwa kubuluzs mkia?
Tulishawahi kuwa mkiani hivi hivi baada ya mechi tatu na kuambulia point 2 tu hadi mkatukatia tamaa msimu uliopita na mwisho wa siku Yanga ikafuzu kwenye kundi gumu zaidi ya hili.
 
Back
Top Bottom