Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

kwa dalili hizi kuna timu zitafanya kama alivyo fanya my wetu miaka ya 70 mwishoni kuingia kipindi cha kwanza cha pili wakapotea mazima
 
Fuatilia mechi za
Dodoma Vs Simba
na
Dodoma Vs Yanga

Utajuta kuwa Mexime ni Yanga damu.
 
Sindano ndio ziliwakimbiza...

Wamanga wa Chamazi noma sana video za sindano wanetunza kwa studio 😂😂
Hilo bomba moja la sindano lililokaa pale chumbani ndio useme Yanga wanajidunga sindano!?
Ukashindwa kufikiria kuwa Yanga ilicheza Caf champions league na ikafanya vizuri nyumbani na ugenini je sindano walizitoa wapi!??
Au hata walivyorudiana na Mamelody na kudhulumiwa goli lao kule Afrika kusini walijidunga sindano!??

Unatumia nini kufikiri na kutafakari mkuu!?
 
Back
Top Bottom