Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Tunampa Muda Kwanza ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Kipindi huyu kocha analetwa watu walisema Yanga inaokota okota makocha.
Mie nikawaambia hata Nabi alikuja bila CV kubwa hapa Yanga.
Ila mifumo yake ikatiki Yanga vizuri tu.
Hadi alipofikia sidhani kama anatakiwa atiliwe shaka,aendelee kutembeza dozi tu anatakiwa abaki.
 
Vipigo viendelee hadi kwa mtu yule๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naona leo mnapiga mabomu mochwari
20241103_155321.jpg
 
Back
Top Bottom