Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Eeeh Mwenyezi Mungu tusaidie tucheze mechi salama na tumalize salama kwa ushindi. Utukinge na yote mabaya tunayoombewa na maadui zetu. Wajaalie neema tuweze kushuhudia pamoja nao mazuri mengi ambayo Yanga inakuja kuyafanya kwa neema na baraka zako. Amina

Kila la kheri wananchi 🟢🟡

Naona leo mnapiga mabomu mochwari
Waache wameutaka wenyewe!
 
Yanga imefanya yote.
Na timu bora siku zote ina uwezo wa kutumia fursa ya makosa ya mpinzani ili kupata matokeo.
Kitendo cha Yanga kutumia nafasi ya makosa ya Dodoma Jiji imeonesha ukomavu wa safu yake ya ushambuliaji kuwa ipo makini.
Na huo ndio mpira.
Labda kama ulete porojo nyingine bro.
Hifadhi hii comment mzee,utakuja kunikumbuka.

Case closed.
 
ndogo hucheza kabla ya sikukuu kubwa hucheza siku kuu maana ndizo zenye washabiki wengi wanaohitaji furaha
Ratiba leo... English PL, Scottish PL, Serie A, La Liga, Bundesliga, etc. kote hakuna mechi.. wakubwa wote tumepumzika...
 
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira

1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani

2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.

Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
haya tuyafute yale matatu liwe moja. MATOKEO NBC LEO DODOMA JIJI FC 0 VS 1 YOUNG AFRICANS SC. umeridhika.
 
Kwa hiyo Dodoma walitaka kupishana na Yanga 😀😀😀
 
Saizi hutasikia zile kauli za Sudi sio kocha.

Saizi hutasikia Hamisa anatuharibia mchezaji wetu.

Hutasikia Hersi alifanya kosa kumtimua Gamondi.

Na hata huyo Sudi hutamsikia akisema wachezaji hawana fitinesi. Wala huwezi kumsikia akilalamika kuwa ana muda mchache tangu akabidhiwe timu.

Sasa ngoja ipatikane mechi moja tu iwapalie.
Hizo kauli huwa mara nyingi zinatengenezwa na kushadadiwa na kolowitches.
 
Simba anashinda mechi zake kwa kupambana, yanga alishinda kabla hata ligi haijaanza, rehea udhamini wa gem ja pattern ya ushindi wa yanga dhidi ya timu dhaminiwa



Nani asiyejua kocha wa dodoma ni yanga asilia? Hii mechi ni staged
huyu kapigwa 4 n staged aya aliyepigwa tano ni nini
 
Makolo lazima warudishe usemi wao kuwa GSM ana haribu ligi.
Tarehe 28 simba wanapoteza points 3. Labda wafanye miamala nje ya uwanja. Na tunawawekea mtego wa TAKUKURU. Baada ya hapo wataanza kujifanya wanafuatilia mechi za ulaya tu lakini huku Bongo watakuwa wanailaumu GSM.
 
Back
Top Bottom