princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Thamani ya MuunganoLina thamani gani hili zuri
Thamani ya MuunganoLina thamani gani hili zuri
😆Thamani ya Muungano
Kwa mujibu wa ranking zipi?Yanga ni kubwa kupita RS Berkane. Hutaki kunya boga.
Katuambia Ali Kamwe.Kwa mujibu wa ranking zipi?
Ndipo uwezo wao ulipoishia!Wachezaji wengi wa Yanga wanacheza kitozi
Huku kwenye ligi wanacheza kwa nguvu ya bahasha na udhamini feki.Hicho unachokiona sasa ndio uwezo wao halisi.Ndipo uwezo wao ulipoishia!
Ukweli huu imejidhihirisha kwenye mashindano haya.Huku kwenye ligi wanacheza kwa nguvu ya bahasha na udhamini feki.Hicho unachokiona sasa ndio uwezo wao halisi.
sawaHaya mashindano makubwa si mchezo. Kila goli TZS elf 3. Hadi sasa utopolo tuna hela ndefu
We komaa na rank za cafKwa mujibu wa ranking zipi?
SawaWachezaji wengi wa Yanga wanacheza kitozi
SAWAHuku kwenye ligi wanacheza kwa nguvu ya bahasha na udhamini feki.Hicho unachokiona sasa ndio uwezo wao halisi.
UKWEL MTUPUUkweli huu imejidhihirisha kwenye mashindano haya.
Zimefutwa lini?We komaa na rank za caf
Tunakomba makombe yote nyie komaeni na rankZimefutwa lini?