Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

Goooooooooaal... Said Ndemla 69' anaipatia goli la kwanza
 
70' Nicolas gyan anatoka na anaingia Shomari Kapombe
 
Mnyama ameanza kutafuna baada ya kurandaranda
 
Uwanja umeamka sasa uwanja wa Kaitaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…