Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

10 ' Kagera Sugar 0-0 Simba SC.

Juma Nyosso anapewa kadi ya njano kwa kubishana na mwamuzi.
 
15 ' kona kuelekea upande wa Kagera Sugar, inapigwa konaaaaa nje
 
16' Kagera Sugar wanapata kona, inapigwa konaaaaa lakini golikipa Aishi Manula anadaka
 
Bocco oooo anatokea golikipa Kaseja hapa kuudaka mpira

23' Kagera Sugar 0-0 Simba SC
 
Yanga karibuni tuishangilie timu kabambe itakayowakilisha nchi kimataifa
Umenikumbusha Jana Nilijitosa Taifa Kwenda Kuwapa Kampani Watani Alafu Nikaka Kwenye Jukwaa Lao Sa Kuna Muda Ruvu Walikosa Bao Nikajua Wamefunga Nikataka Kunyanyuka Kushangilia Niliekuwa Naye Akanivuta Na Kunirudisha Kitini na Maneno Aya ''Jua Kuwa Umekaa Kwenye Jukwaa la Kina Nani'' Nikajikuta Nakuwa Mpole.
 
30 ' za mtanange huu Uwanja wa Kaitaba

Kagera Sugar 0-0 Simba SC
 
34 ' Adeyum anapewa kadi ya njano kwa kuzuia Okwi
 
Mpira wa adhabu kuelekea Kagera unapigwa, Kwasiiiiii nje
 
Back
Top Bottom