OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tukuitie mbao?LEO MIKIA IMAZIBULIWA PIGA MIKIA FC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuitie mbao?LEO MIKIA IMAZIBULIWA PIGA MIKIA FC
PSG nayo msemaji wake ni Manara eeeh?
Dah, nilidhani keshatumia vidole vyake.10 ' Kagera Sugar 0-0 Simba SC.
Juma Nyosso anapewa kadi ya njano kwa kubishana na mwamuzi.
Umenikumbusha Jana Nilijitosa Taifa Kwenda Kuwapa Kampani Watani Alafu Nikaka Kwenye Jukwaa Lao Sa Kuna Muda Ruvu Walikosa Bao Nikajua Wamefunga Nikataka Kunyanyuka Kushangilia Niliekuwa Naye Akanivuta Na Kunirudisha Kitini na Maneno Aya ''Jua Kuwa Umekaa Kwenye Jukwaa la Kina Nani'' Nikajikuta Nakuwa Mpole.Yanga karibuni tuishangilie timu kabambe itakayowakilisha nchi kimataifa
Mnyama vip leo nguruma30 ' za mtanange huu Uwanja wa Kaitaba
Kagera Sugar 0-0 Simba SC