Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
He he Emanuel Okwi wangu nampendaga tu shunie mmHahahahahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he Emanuel Okwi wangu nampendaga tu shunie mmHahahahahahaa
Haha wanapiga kama hawana akili nzuri [emoji23]
SanaaaaaaaaaaaJamani simba raha
Hii simba ndo simba sasaMpira umekwishaaaaaaaaaaaaa
Simba 2 Kagera 0
Hawawezi kuja hapa wanakujajeTatu muhimu tayari
Tunaendelea na stories. Yanga mko wapi
Mechi gani inafuata ni wapi na ni lini tunataka kutangaza ubingwa mapema
wakipigwa tena leo sijui wataenda tena FIFA
Leo ni kupigwaa tu hawakuwa na namnaTumelipiza Ama!!! Walitufanya tukose Ubingwa Hawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Tayari Manara Anaandika Barua Marahii Tunaipeleka THE HAGUE
hahahahahahahaah.......................naona leo mmetoka salama kaitabaMkuu Tayari Manara Anaandika Barua Marahii Tunaipeleka THE HAGUE