Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

90+3 ' Wakati wowote mpira utakuwa umekwisha hapa uwanja wa Kaitaba.

Naam mpira umekwisha uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera, ambapo Simba SC imeibuka na ushindi wa goli mbili bila majibu dhidi ya Kagera Sugar.

Kwa matokeo hayo Simba SC imerudi kushika usukani kwa pointi 32

Ghazwat...kwa niaba ya mashabiki wa Simba Sports Club OKW SUNZU BOBAN, Shunie, Sembo, barafuyamoto na wengine

Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…